Kitengo cha Usimamizi wa manunuzi na ugavi kina majukumu yafuatayo:

  • Kuishauri Menejimeti juu ya masuala yanayohusiana na ununuzi, ugavi na uhifadhi;
  • Kusimamia manunuzi na uhifadhi wa vifaa vya Bodi na ofisi;
  • Kufuatilia uzingatiaji wa kanuni za manunuzi ya umma;
  • Kusimamia uchambuzi hifadhi ya vitu na uhakiki wa mali/vitu;
  • Kuandaa mpago wa manunizi wa mwaka.