BODI YA TUMBAKU TANZANIA
SEMINA NA MKUTANO WA TATHMINI YA ZAO (APPRECIATION)
Bodi ya Tumbaku Tanzania (TTB) inapenda kukualika kuhudhuria na kushiriki mkutano wa tathmini ya zao na semina ya maandalizi ya masoko ya tumbaku msimu wa kilimo 2023/2024. Semina na mkutano huo unatarajiwa kufanyika kwa muda wa siku tatu mfululizo kuanzia tarehe 04 - 06 Aprili, 2024 mjini Siginda.
Katika kufanikisha kufanyika kwa semina na mkutano huu (Appreciation), unaombwa kuchangia gharama za chakula, ukumbi na shajala kwa kulipa ada ya ushiriki kiasi cha Tsh. 150,000/= tu.