Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Bodi ya Tumbaku Tanzania

Mwenendo wa Uzalishaji wa Tumbaku

Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Tumbaku Tanzania ilimaliza kipindi chake mnamo tarehe 21 Julai 2020. Kwa sasa hakuna Bodi ya Wakurugenzi mpaka hapo itakapoteuliwa na mamlaka husika.