Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Bodi ya Tumbaku Tanzania

Habari na Matukio

04

September
MWENENDO WA MASOKO YA TUMBAKU HADI KUFIKIA WIKI INAYOISHIA TAREHE 03 SEPTEMBA, 2023

Jumla ya kilo 120,622,761.31 za tumbaku ya Mvuke (VFC) zenye thamani ya Dola 280,480,849.59 zimenunuliwa kwa wakulima. Hii ni sawa na wastani wa Dola 2.33 kwa kilo moja ya tumbaku ya Mvuke. Aidha, jumla ya kilo 895,805.32 za tumbaku ya Moshi (DFC) zenye thamani ya Dola 1,515,308.43 zimenunuliwa kwa wakulima. Hii ni sawa na wastani wa Dola 1.69 kwa kilo moja ya tumbaku ya Moshi. Vilevile, jumla ya kilo 170,586.58 za tumbaku ya Hewa (Burley) zenye thamani ya Dola 263,796.62 zimenunuliwa kwa wakulima. Hii ni sawa na wastani wa Dola 1.55 kwa kilo moja ya tumbaku ya hewa. Jumla ya kilo 73,821.50 za tumbaku aina ya DAC zenye thamani ya Dola 180,863.50 zimenunuliwa kwa wakulima. Hii ni sawa na wastani wa Dola 2.45 kwa kilo moja ya tumbaku aina ya DAC. Ununuzi huu ni kwa wiki inayoishia tarehe 03 Septemba 2023.

21

August
MWENENDO WA MASOKO YA TUMBAKU HADI KUFIKIA WIKI INAYOISHIA TAREHE 20 AGOSTI, 2023

Jumla ya kilo 120,486,047.12 za tumbaku ya Mvuke (VFC) zenye thamani ya Dola 280,249,854.66 zimenunuliwa kwa wakulima. Hii ni sawa na wastani wa Dola 2.33 kwa kilo moja ya tumbaku ya Mvuke. Aidha, jumla ya kilo 613,949.35 za tumbaku ya Moshi (DFC) zenye thamani ya Dola 1,052,379.63 zimenunuliwa kwa wakulima. Hii ni sawa na wastani wa Dola 1.71 kwa kilo moja ya tumbaku ya Moshi. Vilevile, jumla ya kilo 139,318.27 za tumbaku ya Hewa (Burley) zenye thamani ya Dola 217,983.76 zimenunuliwa kwa wakulima. Hii ni sawa na wastani wa Dola 1.56 kwa kilo moja ya tumbaku ya hewa. Jumla ya kilo 73,821.50 za tumbaku aina ya DAC zenye thamani ya Dola 180,863.50 zimenunuliwa kwa wakulima. Hii ni sawa na wastani wa Dola 2.45 kwa kilo moja ya tumbaku aina ya DAC. Ununuzi huu ni kwa wiki inayoishia tarehe 20 Agosti 2023.

Kuhusu Sisi

Bodi ya Tumbaku Tanzania ni chombo cha udhibiti wa zao la tumbaku kilichoanzishwa chini ya sheria ya sekta ya tumbaku Na. 24 ya 2001 (kama ilivyorekebishwa na sheria ya mazao (marekebisho mchanganyiko) Na. 20 ya 2009).

Dira

Kuwa bora katika utoaji wa huduma za udhibiti, ushauri na ukuzaji wa sekta ya tumbaku.

Dhamira

Kutoa huduma kwa wakati na ubora kwa wakulima na wafanyabiashara wa tumbaku katika suala la usajili, ushauri wa kitaalam na uwezeshaji wa mchango wa sekta binafsi katika sekta ya tumbaku kwa ukuaji bora na endelevu kwa manufaa ya sekta na nchi.

Huduma Zetu

Registration

The Board has a legal mandate to register Tobacco Growers, Tobacco Traders, Primary Cooperative Societies, Tobacco Baling Sheds and Market Centers. You can visit this link ATMIS to apply for these services.

Lecesing and Permits

The Board is mandated to issue various licenses, tobacco import and export permits to tobacco traders in the country. Some of these licenses are Green Leaf Tobacco Buying License, Dry Leaf Tobacco Selling License, Tobacco Processing License and Dry Leaf Tobacco Buying License. These services can be applied through ATMIS.

Education

Tanzania Tobacco Board has well-trained Agricultural Officers who provide knowledge, information, experiences, and technologies to tobacco growers scattered all over the country. To ensure the performance of the tobacco industry in the country the Board uses training and field visits and participatory extension approaches to deliver intended knowledge to tobacco growers.

Wasiliana Nasi

Anwani Yetu

5 Barabara ya Kihonda Maghorofani - Bima, S.L.P 227, 67128 Kihonda Maghorofani, Morogoro.

Tutumie Baruapepe

Tupigie

+255 (0)26 2604417